Uanzie Wapi Kujitafuta Online

Uanzie Wapi Kujitafuta Online

TZS 1,000
12
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Unataka kuanza kutengeneza pesa mtandaoni Au kuwa PRODUCTIVE ONLINE lakini hujui wapi pa kuanzia? haya maswali nimekua nikiulizwa sana "Bro Nianze Vipi? Bro Nianze Wapi? ONLINE" ni mwongozo wa kina utakao kusaidia kuelewa fursa zilizopo kwenye mtandao na jinsi unavyoweza kuzitumia kwa manufaa yako.

Katika eBook hii, utajifunza:
✅ Njia bora za kuanza safari yako ya kipato mtandaoni
✅ Miongozo ya hatua kwa hatua kwa wanaoanza
✅ Makosa unayopaswa kuepuka ili usipoteze muda na pesa

Huu ni mwongozo muhimu kwa vijana wote wanaotaka kujiajiri kupitia teknolojia na fursa za kidigitali. Usikose nafasi yako – anza safari yako ya leo!

Imeandikwa na Gaby Loves Tech
freelancing madusko
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

M

Madini ya Gaby eShop

Gaby loves Tech

View all books

Customer Reviews

Login to Review

No reviews yet. Be the first to review!