You Don't Know Biashara ya P2P
TZS 10,000
-
Pages
Link
Format
Lifetime
Access
0
Sales
Description
Biashara ya P2P (Peer-to-Peer trading) imekuwa moja ya njia rahisi zaidi ya kufanya biashara ya cryptocurrency bila kuwa na mtaji mkubwa. Lakini watu wengi wanaingia kwenye P2P bila kuelewa mfumo wake — na mwisho wanapoteza pesa au wanatapeliwa.Katika video hii maalum, Gaby Loves Tech anaelezea kwa kina jinsi biashara ya P2P inavyofanya kazi na namna ya kuitumia kama fursa ya biashara.
Video hii inaelezea kwa lugha rahisi ya Kiswahili:
✔ P2P ni nini na inafanyaje kazi
✔ Namna ya kuanza biashara ya P2P hatua kwa hatua
✔ Jinsi ya kupata faida kupitia tofauti ya bei (price spread)
✔ Makosa makubwa ambayo beginners hufanya
✔ Jinsi ya kuepuka matapeli kwenye P2P
✔ Mbinu za kuongeza profit kwenye trading
Video hii ni mwongozo wa mwanzo hadi hatua za vitendo kwa mtu yeyote anayetaka kuanza biashara ya P2P.
Utapata nini ndani ya video
Maelezo ya mfumo wa P2P trading
Mfano wa biashara halisi
Tips za kufanya trading salama
Strategy za kuongeza faida
Aina ya bidhaa
Digital Video (Unlisted YouTube Access)
Muda wa video
Full tutorial
Inafaa kwa nani
Watu wanaotaka kuanza biashara ya crypto
Watu wanaotaka kuelewa P2P trading
Watu wanaotaka kuongeza kipato kupitia digital trading
About the Author
Customer Reviews
Login to ReviewNo reviews yet. Be the first to review!