MWONGOZO WA.UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA (BROILER)
Free
26
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
1
Sales
Description
Je wewe ni mfugaji wa KUKU au unatamani kuanza ufugaji wa KUKUBasi sehemu muhimu ya kuwekeza kwenye ufugaji wako ni maarifa na taarifa sahihi kuhusu mifugo Yako
MWONGOZO huu ni matokeo ya maarifa na tafiti kutoka kwa wataalamu wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) ulimwenguni.
Mwongozo huu ni maalum kwa ajili ya kukupatia wewe mfugaji uelewa juu ya hatua za kufuata kuanzia kabla ya kupokea vifaranga wako Mpaka pale watakapofikia uzito wa kuingia sokoni.
About the Author
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!