Mwongozo Wako wa Kidijitali Kuelekea Kesho Iliyo Bora

Mwongozo Wako wa Kidijitali Kuelekea Kesho Iliyo Bora

Free
-
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
4
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Je, umewahi kujiuliza kwanini Bitcoin ilianzishwa au nini hasa kinaendelea kwenye ulimwengu mpya wa Metaverse? HabariTech Toleo la Kwanza limebeba majibu ya maswali haya na mengine mengi yanayogusa maisha yako ya kila siku.

Ndani ya toleo hili, utaelewa:
Metaverse ni nini? Fahamu ulimwengu huu mpya wa kidijitali ambapo maisha ya mtandaoni yanachukua nafasi ya uhalisia.
Usichokijua Kuhusu Mitandao: Jifunze jinsi watoa huduma wako wa internet (ISP) wanavyoweza kuona taarifa zako na jinsi ya kujilinda.
Nguvu ya Bitcoin: Fahamu historia ya kusisimua ya kuundwa kwa Bitcoin baada ya anguko la uchumi wa dunia mwaka 2008 na kwanini inaitwa "sarafu ya ukombozi."
Ubunifu wa Kitanzania: Pata simulizi za vijana wa Kitanzania wanaotumia tech kubadilisha maisha yetu kupitia platform kama Tunzaa, Swahilies, na jamii ya TOTTechs.

HabariTech inavunja ukuta wa lugha ngumu za kitaalamu na kukuletea teknolojia kiganjani mwako kwa lugha unayoielewa. Ni wakati wa kuelewa wapi dunia inaelekea. Usikubali kupitwa!
magazine habaritech
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

H

Habaritech

I write about Finances and Tech

View all books

Customer Reviews

Login to Review

No reviews yet. Be the first to review!