Products
Product
Kuagiza Bidhaa China
Jifunze jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China kwa usalama, bei nafuu, na uhakika kupitia Alibaba. Mwongozo huu rahisi utakufundisha hatua kwa hatua kutoka kufungua akaunti hadi kupokea mzigo wako Tanzania bila kupoteza pesa.
TZS 10,000
Product
Uchambuzi wa Hisa Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE)
Jifunze namna ya kununua hisa na kukuza kipato chako cha uzeeni huku ukiendelea kujitafuta. Kitabu hiki cha "Uchanganuzi na Ununuzi wa Hisa" ni mwongozo wako makini unaokupa mbinu za kiuchambuzi za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Pata maarifa ya jinsi ya kulinda thamani ya pesa yako dhidi ya mfumuko wa bei na kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa vitendo.
TZS 10,000
Product
Habaritech: Magazine 2
Fahamu kuhusu utengenezaji wa pesa mtandaoni.
TZS 0
Product
Mwongozo Wako wa Kidijitali Kuelekea Kesho Iliyo Bora
HabariTech ni jarida la kwanza la Kitanzania linalochambua ulimwengu wa teknolojia kwa lugha rahisi ya Kiswahili. Kuanzia siri za Metaverse, mwanzo wa Bitcoin, hadi jinsi vijana wa Kitanzania wanavyobuni mifumo ya kisasa kama Tunzaa na Swahilies, tunakupa maarifa unayohitaji ili usibaki nyuma katika mapinduzi ya kidijitali.
TZS 5,000
Product
Dark Web: Ndani ya Giza na Siri Nzito
Wengi wakisikia Dark Web hudhani ni sehemu kwa ajili ya Wadukuzi tu. Wengine hudhani ni sehemu ya kuuza na kununua madawa ya kulevya na Silaha. Wasichojua ni kwamba Dark Web tunaishi nayo na kuitumia kila siku na hayo mabaya ni sehemu ndogo sana ya Dark Web.
TZS 2,000
Articles
Article
Hii Ndiyo Sababu Content Creators wa Afrika ni Masikini
Ni muda sasa uanze kufanya content zako kuwa biashara na sio chakula tu cha algorithm ili uzidi kufaidisha wenye platforms. Ukiwa na followers 10,000 alafu 1% yao tu wakanunua bidhaa yako ya TZS 10,000 tayari umetengeneza 1,000,000. Hakuna kusubiri brand fulani ikupe ruhusu ya kupost aina hiyo ya content wapa hela kupotea kwenye fee za foreign exchange.
Article
Kichaa cha 'Content Creation': Kwa Nini Ushawishi Wako wa TikTok ni Mtego wa Umasikini
Lakini nyuma ya hizo ring lights na video za ku-trend, kuna ukweli mchungu sana kiuchumi ambao hatuongelei: Asilimia 95 ya 'creators' wa Kitanzania wanafanya kazi ya bure, huku wakiendelea kuyatajirisha makampuni makubwa ya mitandao ya kijamii.