Kuagiza Bidhaa China

Kuagiza Bidhaa China

TZS 10,000
29
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Unataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China lakini hujui pa kuanzia? Au unaogopa kutapeliwa na kupoteza pesa zako? eBook hii imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako.

Ndani ya mwongozo huu, utajifunza kwa lugha rahisi na hatua za vitendo jinsi ya kutumia Alibaba – moja ya majukwaa makubwa duniani ya kununua bidhaa moja kwa moja kutoka viwandani. Utajifunza jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini sana, kuchagua wauzaji wa kuaminika, na kuhakikisha mzigo wako unakufikia salama hapa Tanzania.

eBook hii inagusa kila hatua muhimu ikiwemo:

Jinsi ya kufungua na kuset akaunti ya Alibaba
Namna ya kutambua wauzaji wa uhakika (Verified Suppliers)
Njia salama za kufanya malipo na kuepuka utapeli
Jinsi ya kuweka oda na kujadiliana na wauzaji
Mbinu za kuchagua bidhaa zenye ubora kwa bei nzuri
Njia mbalimbali za kusafirisha mzigo mpaka Tanzania
Makosa ya kawaida yanayofanywa na wanunuzi na jinsi ya kuyaepuka

Pia utapata siri za kupata bei za jumla, kufanya branding ya bidhaa zako, na hata kuanza biashara ya kuuza bidhaa (ikiwa ni pamoja na dropshipping).

Haijalishi kama wewe ni mfanyabiashara au unataka kununua kwa matumizi binafsi — mwongozo huu utakupa uelewa na ujasiri wa kuagiza bidhaa nje ya nchi bila wasiwasi.

👉 Nunua kwa bei nafuu.
👉 Epuka utapeli.
👉 Panua biashara yako kwa bidhaa za moja kwa moja kutoka China.
personal finance
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

H

Habaritech

I write about Finances and Tech

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!