Products
Product
Geuza Wazo Lako Kuwa Kitabu
Una wazo la kitabu lakini hujui ulianzie wapi? GEUZA WAZO LAKO KUWA KITABU ni mwongozo unaokuongoza kutoka kwenye wazo hadi kwenye kitabu kinachoweza kusomwa na kufika kwa wasomaji.
TZS 9,999
Product
Endesha Biashara kwa Faida
ENDESHA BIASHARA KWA FAIDA inakusaidia kuielewa biashara yako zaidi ya shughuli za kila siku na kuanza kuiongoza kwa mtazamo wa faida na ukuaji.
TZS 9,999
Product
Hisa, hatifungani, Vipande - Uwekezaji kwa ukuaji wa mtaji na kipato endelevu
Uwekezaji mara nyingi huonekana kama ulimwengu wa watu wachache wenye mtaji mkubwa au elimu ya kifedha ya hali ya juu. Lakini ukweli ni kwamba safari ya kifedha inaweza kuanza na kidogo ulicho nacho leo, mradi tu uwe na nidhamu na malengo ya muda mrefu.
TZS 9,999
About Daudi Lubeleje
Mwandishi wa vitabu