Endesha Biashara kwa Faida
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Kitabu hiki kinakupitisha katika mambo muhimu ya biashara, kuanzia kuchagua na kuthibitisha wazo la biashara, kuelewa gharama, mauzo na faida, hadi kujenga mifumo ya kazi, kupata na kuhifadhi wateja, na kupima afya ya biashara yako. Pia kinaangazia makosa yanayoweza kuifanya biashara isimame au kufeli.
Kama una biashara au unapanga kuanzisha biashara, ENDESHA BIASHARA KWA FAIDA ni mwongozo wa kukusaidia kufanya maamuzi bora, kujenga biashara yenye mfumo na kuhakikisha juhudi zako hazizalishi shughuli tu, bali faida na ukuaji.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...