USIOGOPE KUANZA UPYA

USIOGOPE KUANZA UPYA
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
USIOGOPE KUANZA UPYA ni kitabu kinachokukumbusha kwamba kushindwa, kupoteza, kukosea au kupitia kipindi kigumu si mwisho wa maisha. Kila siku mpya ni nafasi ya kujifunza, kujirekebisha na kuanza tena kwa nguvu na matumaini mapya.

Katika kitabu hiki, utapata ujumbe wa kukutia moyo unapokabili changamoto za maisha, unapohisi umepoteza mwelekeo au unapokata tamaa baada ya kushindwa. Utajifunza umuhimu wa kujiamini, kusimama tena baada ya kuanguka, kukubali
yaliyopita na kujenga kesho yenye matumaini.

Usikubali makosa ya jana yaamue maisha yako ya kesho.
Anza tena .Jiamini Simama tena Safari yako bado haijaisha.
USIOGOPE KUANZA UPYA — kwa sababu mwanzo mpya unaweza kuwa mwanzo wa maisha bora zaidi.

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

E

ELIMISHA MEDIA

Mwandishi na mtayarishaji wa vitabu, magazeti na simulizi mbalimbali. Ninalenga kutoa maandishi yenye maarifa, burudani na ujumbe unaogusa maisha ya jamii.

View all books
TZS 5,000
6
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like