Product
SIRI50 ZA KUJIJENGA KISAIKOLOJIA
Gundua siri 50 za kisaikolojia zinazokusaidia kujenga akili imara, kudhibiti hisia na kuunda tabia za ushindi. Kitabu hiki kinakufunulia mbinu zilizofichwa ambazo watu wengi hawazijui, lakini zinaweza kubadilisha namna unavyofikiri, kuamua na kuishi.
TZS 10,000 TZS 15,000