ACHA KUFIKIRI SANA

ACHA KUFIKIRI SANA
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Mwongozo wa kukusaidia kuelewa mzunguko wa overthinking, kutambua kinachochochea mawazo yanayojirudia, kujifunza mbinu za kuyasimamia na kuanza kujenga utulivu wa akili.

Ndani yake utapata:
SELF-ASSESSMENT — kujitathmini na kutambua maeneo ambayo overthinking yako inaonekana zaidi.

MAZOEZI YA VITENDO — kuanza kutumia unachojifunza, si kusoma tu.

MPANGO WA SIKU 30 — kujenga hatua ndogo za kila siku za kuanza kubadilisha mfumo wako wa mawazo.

Huhitaji kuwa mtu asiye na mawazo.
Unahitaji kujifunza kutotawaliwa na mawazo yako.

Anza safari ya kuelewa akili yako, kuvunja mzunguko wa overthinking na kujenga utulivu wa ndani.
ACHA KUFIKIRI SANA — kwa sababu amani ya akili huanza unapojifunza jinsi ya kuishi na mawazo yako, bila kuyaruhusu yakutawale.

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

F

Fikrachanya

FikraChanya ni jukwaa linalotoa maudhui ya kujenga akili, kuongeza nidhamu binafsi na kuhamasisha maendeleo ya maisha. Kupitia saikolojia, nukuu zenye mafunzo na ushauri wa vitendo, FikraChanya huwasaidia watu kukuza mtazamo chanya na kufikia malengo yao kwa ufanisi.

View all books
TZS 9,000 TZS 10,000
86
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like