Products
Product
MUONGOZO WA LISHE BORA KWA WATOTO
Kijitabu hiki cha Afya Nono kimeandaliwa mahususi kwa ajili ya wazazi na walezi wanaotaka kuwapa watoto wao mwanzo bora wa lishe, kuanzia kipindi cha kuanzisha vyakula vya nyongeza (miezi 6) hadi mwaka mmoja. Kinatoa maelekezo ya vitendo, rahisi kufuata nyumbani.
TZS 8,000
Product
MUONGOZO WA VYAKULA VYA KUPUNGUZA UZITO
Kijitabu hiki kinakupa mwongozo kamili wa lishe bora kwa ajili ya kupunguza uzito kwa njia salama na yenye afya. Kinaeleza aina za vyakula vinavyoshauriwa na vinavyopaswa kuepukwa, malengo muhimu ya kilishe, pamoja na ratiba kamili ya mlo wa wiki nzima (kiamsha kinywa, mchana na jioni). Ni mwongozo rahisi kufuata kwa mtu yeyote anayetaka kupunguza uzito bila kuathiri afya yake.
TZS 10,000
Product
DETOX AND BEAUTY
TZS 9,900