MUONGOZO WA VYAKULA VYA KUPUNGUZA UZITO
TZS 10,000
4
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales
Description
Lishe bora kwa mwili mwepesi na afya njemaKijitabu hiki cha Afya Nono kimeandaliwa kwa ajili ya watu wanaotaka kupunguza uzito kwa njia sahihi ya kiafya, kupitia lishe iliyopangwa vizuri badala ya njia za mkato zisizo salama. Kinatoa mwongozo wa vitendo unaoweza kufuatwa nyumbani kila siku.
Yaliyomo:
1. Mfumo wa maisha na upunguzaji wa uzito – umuhimu wa mtindo bora wa maisha katika kudhibiti uzito
2. Malengo ya kilishe kwa mtu anayepunguza uzito
3. Vyakula vinavyoshauriwa – mafuta ya kiafya, mboga, nyama nyeupe, samaki, matunda, maziwa, mayai
4. Vyakula vya kuepuka – wanga, kafeini, sukari, vyakula vya tindikali kali
5. Ratiba kamili ya mlo wa wiki nzima (Jumatatu–Jumapili, milo 4 kwa siku)
About the Author
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!