Musa na Harun | Musa and Harun (Visa vya Mitume 6)

Musa na Harun | Musa and Harun (Visa vya Mitume 6)
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Musa na Harun ni kitabu cha 6 kati ya 8 katika mfululizo wa Visa vya Mitume — visa vya Mitume kutoka Adam hadi ‘Isa, kwa watoto wa miaka 7–12. Kimejengwa juu ya Qur'an na Sunna sahihi, pamoja na ushahidi, maswali ya kufikiri na mazoezi. Hakuna picha za Mitume, Malaika wala Maswahaba.

Utapata matoleo 4 (PDF):
• Faili kuu: Kiswahili — Miaka 7–9
• Faili ya ziada (PDF moja): Kiingereza + Kiarabu — Miaka 7–9; Kiswahili — Miaka 10–12; Kiingereza + Kiarabu — Miaka 10–12

———
Musa and Harun is book 6 of 8 in the Stories of the Prophets series for ages 7–12, grounded in the Qur'an and authentic Sunnah. You receive four editions: Kiswahili Ages 7–9 (main PDF), plus one bonus PDF with English + Arabic Ages 7–9, Kiswahili Ages 10–12 and English + Arabic Ages 10–12.

Mwandishi / Author: Hudhayfa S. Maulidi
vitabu vya watoto kiislamu islamic kids books Visa vya Mitume Stories of the Prophets Hudhayfa S. Maulidi

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Halal Knowledge Hub

View all books

Chagua Toleo la Bidhaa Hii

💡 Jinsi ya kununua: Chagua moja ya matoleo hapa chini. Kila toleo linajumuisha faili za msingi + faili za ziada za toleo ulilichagua. Bei inayoonyeshwa ni jumla ya malipo.
Toleo la Msingi (Standard)
Bei ya msingi
  • Faili la msingi pekee
TZS 3,000
Jumla ya malipo yote
TZS 3,000 TZS 5,000
24
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like