About Kabembo
Mtaalamu wa kuuguza, kushauri na kuelimisha wateja wanaosumbuliwa na changamoto zitokanazo na mtindo mbaya wa maisha husasani changamoto za magonjwa yasiyo ya kuambukizwa(NCD) ambayo ni:- 1.Presha
2.Kisukari
3.Magonjwa ya figo
4.Kitambi