Product
Jifunze Kutengeneza Aina Mbalimbali Za Juice Smoothies na Mocktails kwa Afya na Biashara.
Katika dunia ya leo, biashara ya juisi za matunda inaongezeka kwa kasi, Juisi za matunda ni bidhaa zinazovutia sana katika soko la afya na lishe. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa kutengeneza juisi za matunda, Smoothies na Mocktails kwa ajili ya biashara, hatua kwa hatua, pamoja na faida zake za kiafya. Lengo ni kusaidia wajasiriamali kujifunza jinsi ya kuzalisha juisi bora na za kuvutia. Tunatarajia kusaidia wajasiriamali katika kujenga biashara yenye mafanikio. Karibu.
TZS 5,999