Jifunze Kutengeneza Aina Mbalimbali Za Juice Smoothies na Mocktails kwa Afya na Biashara.
TZS 5,999
45
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales
Description
Katika dunia ya leo, biashara ya juisi za matunda inaongezeka kwa kasi, Juisi za matundani bidhaa zinazovutia sana katika soko la afya na lishe. Kitabu hiki kinatoa mwongozo wa
kutengeneza juisi za matunda, Smoothies na Mocktails kwa ajili ya biashara, hatua kwa hatua,
pamoja na faida zake za kiafya. Lengo ni kusaidia wajasiriamali kujifunza jinsi ya kuzalisha
juisi bora na za kuvutia. Tunatarajia kusaidia wajasiriamali katika kujenga biashara yenye
mafanikio.
Karibu.
About the Author
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!