Product
LISHE YA KISUKARI: VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUDHIBITI SUKARI
Kitabu hiki kinakupa mwongozo rahisi wa vyakula vinavyofaa kwa mgonjwa wa kisukari, vyakula vya kupunguza matumizi, na vya kuepuka. Utajifunza jinsi ya kupanga milo yako kwa usahihi ili kusaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini na kupunguza hatari ya madhara ya kisukari.*
TZS 15,600