Product
PESA MTANDAONI EBOOK
Pesa Mtandaoni: Njia Halali za Kufanya Pesa Mtandaoni ni mwongozo rahisi na wa vitendo unaokufundisha jinsi ya kuanza kupata kipato kupitia mtandao kwa njia halali na zinazowezekana hapa Tanzania. Ndani yake utajifunza fursa kama content creation, affiliate marketing, kazi za mtandaoni na mbinu za kujenga kipato kidogo kidogo hadi kuwa thabiti. Hii ebook imeandikwa kwa lugha rahisi ili hata anayeanza kabisa aweze kuelewa na kuanza hatua kwa hatua kujenga maisha ya kidigitali yenye kipato
TZS 10,000