Canva Tutorial – Mwongozo wa Kiswahili
Unataka kutengeneza design kali kwa urahisi kutumia SIMU au KOMPYUTA? Hii ni tutorial ya Kiswahili itakayokufundisha jinsi ya kutumia Canva kutengeneza picha za kuvutia, mabango, posts za mitandao ya kijamii, na zaidi.
Ndani ya mwongozo huu, utajifunza:
– Jinsi ya kuanza na Canva hata kama hujawahi kuitumia
– Kutengeneza logo, mabango, na posts za kuvutia
– Mbinu za kuboresha designs zako kwa kutumia Canva Pro
– Njia za kutumia Canva kwa biashara na kutengeneza kipato
Muhimu: Tafadhali tumia VPN kufungua tutorial kama upo TZ hii nimeiweka telegram haifunguki bila VPN.
Anza leo na fanya designs zako ziwe kali kama PRO!
Reviews
There are no reviews yet.