Jifunze Programming Bila Kwenda Chuo

Jifunze kuwa software developer na computer scientist bila kuingia chuo wala darasani. Unahitaji simu yako na bando tu.

Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 10,000.

Ikiwa wewe ni mgeni kabisa katika ulimwengu wa programming na web development, haitukuwa kitu cha ajabu tukiona unaanza kujisomea mwenyewe kupitia course za bure zinazotolewa mtandaoni. Kwa kutumia hizi course za bure inakuwa na faida kwako. Kwa sababu hautaingia gharama yoyote, na utajua nini ungependa kufahamu na nini uachane nacho kabla hujaamua kulipia gharama kubwa za kusoma programming. Baada ya kupitia course nyingi za bure, utakuwa na uwezo wa kuamua/kujua unapendelea kufanya aina ipi ya development.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Programming Bila Kwenda Chuo”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading...

Vendor Information

  • Store Name: habaritech
  • Vendor: habaritech
  • Address: Samora
    Iringa
    Iringa
    15103
  • No ratings found yet!

Product Enquiry

Taarifa zako binafsi zitatumika kukamilisha malipo yako na kutoa invoice yako ndani ya website hii, pia zitatumika kwa matumizi mengine yaliyotajwa hapa privacy policy

Jifunze Programming Bila Kwenda Chuo
Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 10,000.

2