MWONGOZO RAHISI WA KUWA MWEKEZAJI BORA KATIKA SOKO LA HISA

Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 4,999.

  • “Ungekuwa umewekeza Sh 300,000 tu mwaka Juzi, ungekua na Faida ya zaidi ya Sh 270,000+ Leo… lakini hukufanya hivyo. Kwa nini?”

Najua unavyojihisi. Hilo si kosa lako kabisa. Unajua kuna watu wanatengeneza pesa nyingi kupitia soko la hisa, lakini kila ukitaka kuanza, unahisi kuna kitu kinakuzuia.

Labda unajiambia:

✓ “Sina mtaji mkubwa”

✓ “Hilo soko nalijua kidogo sana”

✓ “Siwezi kuelewa haya mambo ya hisa”

✓ “Je, kama nitapoteza pesa zangu?”

Kila siku unakutana na watu wanaonufaika na soko la hisa. Unasikia majina kama Warren Buffett, Aliko Dangote, na hata Wabongo wachache waliofanikiwa, lakini bado hujaelewa ni kwa jinsi gani wao wanafanikiwa na wewe unabaki nje.

Sasa ngoja nikuambie kitu ambacho hakuna aliyewahi kukuambia…

Tatizo Kubwa Ni Hili

Watu wengi wanakosea kwa kudhani kuwa soko la hisa ni ngumu, ni ya matajiri, au inahitaji ujanja wa hali ya juu. Ukweli ni kwamba soko la hisa lina utaratibu wake,

NA…

Tatizo lako si kwamba huwezi,Bali….

❌ Hujui wapi pa kuanzia

❌ Kuhofia kupoteza pesa kwa kufanya maamuzi mabaya

❌ Kutokuelewa jinsi soko linavyofanya kazi

❌ Kushindwa kuchagua hisa sahihi kwa faida ya muda mrefu

Na kinachouma zaidi? Watu wengi wanaishia kusubiri, wakitumaini watajifunza “siku moja,” lakini hiyo siku haiji kamwe!

Ukweli Unaoumiza…

Watu wengi wanapoamua kuwekeza, wanatumia mbinu za kubahatisha. Wanashawishika na “tips” zisizothibitishwa, au wanakimbilia kununua hisa za makampuni yanayoongelewa sana bila utafiti wa kina. Mwisho wake?

❌ Wanapoteza pesa

❌ Wanakata tamaa na kusema Uwekezaji Katika Hisa Siyo Kwaajili yao

❌ Wanapoteza muda mwingi kutafuta suluhisho pasipo mwongozo sahihi

Labda tayari umeshashuhudia hii ikitokea kwa mtu mwingine, au hata kwako mwenyewe. Lakini habari njema ni kwamba kuna njia bora zaidi.

Watu Wengine Wamejaribu Kutatua Hili, Lakini…

✓ Kuna mafunzo mengi mtandaoni, lakini mengi ni ya kinadharia tu. Hakuna anayekuonyesha hatua za vitendo za kuanza kwa usahihi.

✓ Kuna “wataalamu” wanaotoa ushauri wa uwekezaji, lakini wengi wao hawajawahi hata kuwekeza kwa vitendo!

✓ Kuna vitabu vya uwekezaji, lakini vingi vina lugha ngumu isiyoeleweka kwa mwekezaji wa kawaida.

Kwa kifupi, hakuna mwongozo rahisi wa hatua kwa hatua kwa mtu anayetaka kuanza bila kuumia.

Hii Ndio Sababu Niliandika Kitabu Hiki!

Baada ya kupitia machungu ya kujaribu na kukosea, niligundua siri ambazo wawekezaji wakubwa hutumia. Na kwa sababu nilitaka kusaidia wengine wasipitie makosa niliyofanya, niliamua kuweka maarifa haya kwenye kitabu kinachoitwa:

Mwongozo Rahisi wa Kuwa Mwekezaji Bora Katika Soko la Hisa

✅ Kitabu hiki kinakufundisha kila unachohitaji kujua ili kuanza kuwekeza kwa uhakika—bila kuchanganyikiwa au kupoteza pesa kwa maamuzi mabaya.

✅ Ni mwongozo rahisi, wa vitendo, ulioandikwa kwa lugha inayoeleweka hata kwa mtu ambaye hajawahi kuwekeza kabla.

Ndani ya Kitabu Hiki Utajifunza:

✅ Jinsi ya kuanza uwekezaji hata kama huna mtaji mkubwa

✅.Utafahamu kila kitu kuhusu hisa hata kama hujawahi kuwekeza

✅.Utaepuka makosa yanayowapotezea watu pesa kila siku kwenye soko la hisa

✅ Siri ya kuchagua hisa zenye faida kubwa kwa muda mrefu

✅ Jinsi ya kuepuka makosa yanayofanywa na wawekezaji wengi wapya

✅ Njia rahisi ya kusoma Report za mwenendo Wa soko la Hisa na kufanya maamuzi sahihi

Pamoja na Siri Nyingine Kibao

Mwongozo Huu ni tofauti na Miongozo Mingine

Kwani yaliyomo humo Siyo nadharia . mwongozo Huu ni wavitendo wenye mifano halisi ya soko la hisa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange).

Utajifunza kwa mifano halisia na siyo hadithi za kufikirika.

Lakini Sidhani Kama Kila Mtu Anaweza Kupata Mwongozo Huu…

Ningependa kila mtu apate mwongozo huu, lakini siwezi.

Ndani ya muda Mfupi utapata mwongozo huu kwa bei ya OFA, Na Offer Hii Ipo Limited haitakuwepo milele.

Kwasasa Utaupata Mwongozo Huu Kwa Exclusive OFFER ya….

Tsh 10,000/= Tu

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “MWONGOZO RAHISI WA KUWA MWEKEZAJI BORA KATIKA SOKO LA HISA”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading...

Vendor Information

  • Store Name: FINANCIAL MARKET
  • Vendor: FINANCIAL MARKET
  • Address: Mji mwema
    Mji mwema
    Iringa
    Iringa
    0005
  • No ratings found yet!

Product Enquiry

Taarifa zako binafsi zitatumika kukamilisha malipo yako na kutoa invoice yako ndani ya website hii, pia zitatumika kwa matumizi mengine yaliyotajwa hapa privacy policy

MWONGOZO RAHISI WA KUWA MWEKEZAJI BORA KATIKA SOKO LA HISA
Original price was: Sh 15,000.Current price is: Sh 4,999.

1