Nyota ya Mrembo Aliyezikwa Hai

Masikini Janeth hakujua kwamba Johnson alikuwa na mipango mingine juu ya maisha yake. Maisha ya Johnson yalijaa ushirikina na njaa ya mafanikio, kitu ambacho kilifanya kila mtu aliyemgusa Janeth apoteze maisha yake.

Sh 10,000

Janeth mrembo ambaye maisha magumu yalimpelekesha na kujikuta akitatanga katika mitaa ya kariakoo anakutana na kijana mtanashati mwenye elimu na mafanikio. Moja kwa moja wanazama katika bahari ya mapenzi na kujikuta wakipenda sana, lakini kiu ya mafanikio ya Johnson ilikuwa kubwa kuzidi upendo wake kwa Janeth. Hivyo anaamua kumtoa kafara mpenzi wake, na katika safari hii ya mahusiano yao inaondoka na maisha ya watu wengi sana.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Nyota ya Mrembo Aliyezikwa Hai”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Loading...

Vendor Information

  • Store Name: habaritech
  • Vendor: habaritech
  • Address: Samora
    Iringa
    Iringa
    15103
  • No ratings found yet!

Product Enquiry

Taarifa zako binafsi zitatumika kukamilisha malipo yako na kutoa invoice yako ndani ya website hii, pia zitatumika kwa matumizi mengine yaliyotajwa hapa privacy policy

Nyota ya Mrembo Aliyezikwa Hai
Sh 10,000

1