Kufanya simu yako iwe smart zaidi ijiweke setting kama
- kuwasha wifi ukifika home
- kuondoa sauti ukiwa ofisini
- kujiweka power saving mode pale inapokuwa na low battery
- Kukumbusha kuchaji ikiwa na low battery
- Ipige alarm ikichomolewa chaji
- Landscape mode ukifungua youtube
Reviews
There are no reviews yet.