Je, Unamiliki Akaunti ya Benki au Simu Yenye Huduma za Kifedha Kama M-Pesa, Tigo Pesa, au Airtel Money?
…Kama umejibu NDIYO, basi unaweza kuwa unaacha MAMILIONI ya Pesa Mezani kila mwaka bila hata kujua!
Kwa nini?
Ripoti za _”Finescope 2023″_ zinaonesha kuwa Watanzania wengi huishia kuhifadhi pesa zao benki au kwenye simu zao bila kuzizalisha—wakati kuna NJIA ZAIDI YA MOJA za kuzifanya pesa zako zikufanyie kazi!
“Jifunze Mbinu Rahisi za UWEKEZAJI Zitazokufanya kuongeza Kipato Chako na Uanze Kupokea Faida Kila Mwezi – Mwaka BILA KUBADILI MAISHA YAKO YA KILA SIKU!”
Na hapa ndio utakavyoweza kuanza kuingiza pesa bila Hata Kufanya kazi “Pesa itaanza Kufanyika kazi badala Yako”
“Kanishtaki TAKUKURU (PCCB) kama hutapata faida yoyote kwa kutumia mfumo huu wa uwekezaji niliokusanyia kwa miaka mingi.”
Rafiki Yangu,
Kama umekuwa ukijiuliza:
Nawezaje kuzalisha pesa zangu bila kuanza biashara mpya au kuacha kazi yangu?
Ni wapi nawekeze pesa zangu kwa usalama huku nikiwa na uhakika wa kupata faida?
Je, ni kweli watu wanatengeneza faida kubwa kwenye soko la hisa, hatifungani, na unit trusts hapa Tanzania?
Basi, huu ndio ujumbe muhimu zaidi ambao utasoma leo.
Sasa, naenda Kukuvujishia Mfumo huu wa Siri ambao unawaingizia “*MAFOGO*” Mamilion ya Pesa kila mwezi kwa kutumia masoko ya Fedha na mitaji “Financial Market”
_…Na jinsi WEWE UTAKAVYOANZA KUTENGENEZA PESA KUPITIA SOKO LA HISA, HATIFUNGANI NA UNIT TRUSTS TANZANIA!_
MFUMO WOTE WA SIRI ambao unaendelea kuwazalishia pesa “*MAFOGO*”umekusanywa kwenye hii eBook yenye kurasa chache tu
eBook hii imesheheni Siri Kibao Kuhusiana na Jinsi ya Kuwekeza na Kujipatia Faida Kupitia Uwekezaji Katika Hisa Hatifungani pamoja Utt Amis “Financial Market”
Na..
Hii ni Nusu ya SiRi utakazoenda Kugundua ndani ya eBook hii ya Tujibebe na Financial Market ya Bongo
_✅ Jinsi ya kuwekeza kwenye hisa kwa mtaji mdogo na kukuza akiba yako taratibu [Page #32]_
_✅ Makosa 7 makubwa ambayo wawekezaji wapya hufanya kwenye soko la hisa na jinsi ya kuyaepuka_
_✅ Njia 3 rahisi za kupata gawio la faida (dividends) kila mwaka Hata kama ndio Ndio unaanza Kuwekeza_
_✅ Jinsi ya kuwekeza kwenye hatifungani na kupata faida inayozidi akiba ya benki mara 3 zaidi_
_✅ Mpango wa uwekezaji wa miaka 5 ambao unaweza kukutengenezea uhuru wa kifedha bila kuhatarisha mtaji wako_
_✅ Mfumo wa “Smart Investor” wa kuchagua kampuni bora za kuwekeza ili kupunguza hatari ya kupoteza pesa_
_✅ Jinsi ya kuanza kuwekeza Utt Amis hata kama hujui lolote kuhusu masoko ya fedha_
_✅ Mikakati ya kujikinga dhidi ya kushuka kwa soko na kuhakikisha unapata faida hata wakati wa mdororo wa uchumi_
_✅ Njia za kupata taarifa sahihi za soko la hisa Tanzania ili ufanye maamuzi sahihi kila wakati_
….Na SIRI nyingine nyingi ambazo hazijawahi kufundishwa mahali popote!
Na vipi Kuhusu bei yake..
Je, ni sawa nikitoe kitabu hiki kwa Tshs 55,000?
Ningesema NDIO japo kina thamani kubwa zaidi.
Vipi kuhusu Tshs 45,000?
Hiyo bado ni kubwa
Hadi Tshs 40,000?
Hiyo ipo sawa, ila bado nataka nishuke chini zaidi kwa ajili yako.
Sasa hutalipa hata Tsh 35,000… Wala Tsh 25,000… Wala Tsh 15,000…
Utapata Kwa Exclusive OFFER ya …*Tsh 15,000 Tu!*
Reviews
There are no reviews yet.