MANIPULATION CODE 101

MANIPULATION CODE 101
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Watu wengi hawajui kinachoendelea,

Wanadhani wanafanya maamuzi yao wenyewe.

Wakati mwingine...

• Ni hisia zimefanya maamuzi.

Wakati mwingine...

• Ni hofu.

Wakati mwingine...

• Ni tamaa.

Na wakati mwingine...

• Ni mtu mwingine kabisa.

Ndiyo maana nimeamua kuandaa Series hii.

Siyo kukufundisha namna ya kuwachezea watu.

Bali...

Kukusaidia kuona mchezo ambao

Umekuwa ukichezwa mbele ya macho yako.

Ukishauona...

Itakuwa vigumu sana mtu

kukuingizą kwenye mtego tenaaaa!.

Ndani ya EPISODE 10 zijazo...

Tutafungua pazia.

Tutazungumza Kuhusu:

• Kwa Nini Watu Wanaamini Kirahisi.

• Kwa Nini Watu Wanadanganyika.

• Kwa Nini Matangazo Yanatuathiri.

• Kwa Nini Tunashindwa Kusema "Hapana."

• Kwa Nini Tunaogopa Kupoteza.

• Na Jinsi Ya Kujenga Akili Ambayo Si Rahisi Kuchezewa.

Nakuhakikishia kitu kimoja...

Ukimaliza Series hii,

HUTATAZAMA DUNIA KWA MACHO YALE YALE TENAAAA!.

Karibu kwenye….

MANIPULATION CODE 101: Jinsi Dunia Inavyocheza na Akili Yako.

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

Francis

Photographer • Writer • I-AM-HIM

View all books
TZS 2,500
68
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
1
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like