Products
Product
ANAKUPENDA AU ANAKUTAWALA?
Je, ni upendo wa kweli au umeanza kudhibitiwa bila kujua? Kitabu hiki kitakusaidia kutambua dalili za manipulation, control, gaslighting na uhusiano usio na afya—ili urudishe sauti yako, mipaka yako na uhuru wako wa kihisia.
TZS 5,000 TZS 7,000
Product
AKILI ZA GIZA
Gundua mbinu za Dark Psychology, manipulation na gaslighting, jinsi zinavyofanya kazi, na muhimu zaidi—jinsi ya kuzitambua na kujilinda. Jifunze pia kutumia uelewa huu katika biashara, uongozi na ushawishi wa kimaadili.
TZS 9,000 TZS 10,000
Product
NGUVU YA FIKRA SAHIHI
Jifunze jinsi fikra zako zinavyoathiri maamuzi, juhudi na matokeo ya maisha yako. Ebook hii inakusaidia kubadili mtazamo, kujijenga upya na kuanza kuchukua hatua kwa fikra sahihi
TZS 7,000 TZS 8,000
Product
ACHA KUFIKIRI SANA
Overthinking inaweza kuathiri usingizi, maamuzi, mahusiano na uwezo wa kufurahia wakati uliopo.
TZS 9,000 TZS 10,000
Product
SIRI 50 ZA KUJIJENGA KISAIKOLOJIA
Ni mwongozo rahisi na wa vitendo unaokusaidia kuelewa akili yako, kujenga kujiamini, kuvunja mawazo hasi, kuimarisha tabia, kujenga mahusiano yenye afya na kukuza mtazamo bora kuhusu fedha na mafanikio.
TZS 10,000