Product
SIRI 7 ZA KUMLINDA MTOTO NA UKATILI
Mwongozo wa vitendo kwa wazazi na walezi unaoeleza siri 7 muhimu za kumfundisha mtoto kujitambua, kutambua viashiria vya ukatili na kujilinda dhidi ya ukatili. Unapata pia mpango wa siku 7 wenye hatua rahisi za kumsaidia mtoto kujifunza usalama kwa lugha anayoielewa.
TZS 5,000 TZS 10,000