MONETIZE YOUR PERSONAL BRAND
TZS 5,500
TZS 10,000
32
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales
Description
Unajenga content… lakini pesa haionekani?Au una followers, ila hujui jinsi ya kuwageuza kuwa kipato?
Hii eBook itakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya:
1. Msingi wa Personal Brand
Jinsi ya kujitambua na kujenga brand yenye direction thabiti
Jinsi ya kuchagua niche moja inayokupa authority na soko
2. Content inayofanya kazi
Namna ya kuunda ujumbe (message) unaokaa kwenye akili za watu
Jinsi ya kutengeneza content yenye value inayovuta na kushawishi
Siri ya consistency na jinsi ya kukua bila kuchoka
3. Kugeuza Audience kuwa Mapato
Mfumo kamili: Audience → Trust → Offer
Aina za offers (eBook, course, consultation, community, nk...) na jinsi ya kuzitengeneza
Jinsi ya kuunda offer inayouza: tatizo, matokeo, bei sahihi
4. Mauzo na Mfumo wa Kufanya Kazi
Mbinu za sales psychology kupitia content Jinsi ya kujenga funnel rahisi ya kuuza
Wapi na jinsi ya kuuza bidhaa zako online
5. Makosa ya Kuepuka
Makosa makubwa yanayowafanya creators wasipate pesa Hii si eBook ya kuongeza followers tu, ni mwongozo wa kujenga mfumo wa pesa kupitia brand yako.
About the Author
Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!