MBELE YA MUDA - JINSI YA KUJIBADILISHA KUWA BORA
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
Maisha hubadilika pale mindset yako inapobadilika.
Kama unahisi umekwama, unarudia makosa yale yale, unakosa nidhamu au una ndoto kubwa lakini hujui uanze wapi kujitafuta na kuyaendesha maisha yako...
MBELE YA MUDA ni eBook niliyoandika kwa ajili yako.
Ndani yake utajifunza jinsi ya:
Kubadilisha mindset inayokurudisha nyuma.
Kujenga nidhamu na tabia za mafanikio.
Kuepuka makosa yanayowarudisha nyuma vijana wengi.
Kukuza uwezo wa kufanya maamuzi bora.
Kujijenga kuwa toleo bora zaidi la wewe mwenyewe.
NB. Hiki sio kitabu cha motivation za muda mfupi.
Ni mwongozo wa kukusaidia kubadilisha namna unavyofikiri ili uanze kubadilisha maisha yako kwa vitendo.
💰 Bei ya Ofa: TSh 10,000 tu.
Baada ya kufanya malipo, eBook itatumwa moja kwa moja kwenye Email uliyoweka.
Bonyeza kitufe cha "Buy Now" hapa chini ili kupata nakala yako.
Anza safari ya kujijenga leo.

Customer Reviews
No reviews yet. Be the first to review!
Community Comments
Please log in to leave a comment.
Loading comments...
You might also like
JINSI YA KUJENGA NA KUMONETIZE PERSONAL BRAND YAKO MTANDAONI
TZS 15,000
TZS 30,000
THE FREELANCE BLUEPRINT
TZS 9,500
TZS 20,000
BE YOUR OWN BOSS
TZS 7,000
TZS 15,000
MBELE YA MUDA - Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora, Kujenga Akili, Nidhamu Na Mfumo Wa Maisha Unaokuweka Hatua Moja Mbele Kila Siku
TZS 19,000
TZS 25,000