MBELE YA MUDA - Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora, Kujenga Akili, Nidhamu Na Mfumo Wa Maisha Unaokuweka Hatua Moja Mbele Kila Siku

MBELE YA MUDA - Jinsi Ya Kujibadilisha Kuwa Bora, Kujenga Akili, Nidhamu Na  Mfumo Wa Maisha Unaokuweka Hatua Moja Mbele Kila Siku
Overview
Reviews (0)
Comments
Creator
MBELE YA MUDA Ni mfumo wa kujibadilisha na kuyabadilisha maisha yako kuwa bora.

Kama unahisi:
• Maisha yako hayana mwelekeo
• Unachoka haraka kiakili
• Huna nidhamu
• Kuna tabia mbaya umejaribu mara nyingi kuziacha ila umeshindwa
• Unafanya kazi sana lakini matokeo hayaendani na juhudi zako
• Unahisi maisha yanakusonga pembeni
• Unaishi kwa kurudia mzunguko ule ule wa watu na vitu kila siku
• Unaahirisha mambo muhimu au unajua una uwezo mkubwa lakini huujui jinsi ya kuutoa
• Kama unataka kujifunza discipline...

Basi soma mpaka hii eBook mwisho...

Kwa nini watu wengi wanahisi wamekwama?

Kwa sababu kila siku:

❌ Wanaamka na mipango mingi
❌ Wanaanza vizuri lakini wanakata tamaa njiani wakifika kati kati
❌ Wanatafuta mafanikio lakini hawaoni matokeo
❌ Wanahisi kuchoka kiakili na kimawazo
❌ Wanazirudia tabia mbaya zinazokwamisha maendeleo na mafanikio yao
❌ Wanakosa MFUMO sahihi wa kuendesha maisha yako

Tatizo sio kwamba hawana uwezo.

Tatizo ni kwamba hawajawahi kuonyeshwa mfumo sahihi wa kuyaongoza maisha yao.

MBELE YA MUDA imeandaliwa kukusaidia:
✓ Kuweka Mindset yao vizuri
✓ Kupanga maisha yako kwa utulivu
✓ Kufikiria kwa uwazi
✓ Kufanya maamuzi sahihi
✓ Kuona fursa ambazo wengi hawazioni
✓ Kujijenga vizuri kiakili, kihisia na kifedha

Hii eBook imekusanya mafundisho kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa saikolojia, neuroscience, productivity na maendeleo binafsi, kisha kuyatafsiri kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kila mtu aweze kuyaelewa na kuyatumia kwenye maisha yake.

Hii sio tu eBook ya kusoma na kusahau.

Ni eBook ya kusoma, kutafakari, na kutumia kila siku.

Hii eBook ni maalumu kwa ajili ya:

- Kijana anayejitafuta.
- Mwanafunzi au Mwanachuo.
- Mjasiriamali anayetaka kujijenga.
- Mfanyakazi anayetaka kuongeza uwezo wake.
- Mtu yeyote anayehitaji mwelekeo wa maisha yake.
- Mtu yeyote anayechoka kuishi chini ya uwezo wake.

Swali si kama unaweza kubadilika.

Swali ni, umeamua kubadilika lini?

Kitendo cha kubadilika ni kufanya mamuuzi.

Anza leo. Jenga akili yenye nguvu. Jenga nidhamu. Jenga mfumo. Kuwa mbele ya muda.

Ndani ya MBELE YA MUDA utajifunza:

1️⃣ Jinsi ya kujibadilisha kuwa bora, kuwa best version of yourself

2️⃣ Jinsi ya kupata kibali cha Mwenyezi Mungu na kuishi kwa mwelekeo.

3️⃣ Siri zilizofichwa kuhusu mafanikio ya kweli.

4️⃣ Nguvu ya pesa na namna ya kutambua fursa zilizokuzunguka.

5️⃣ Life Pattern na namna inavyoathiri maisha yako na jinsi ya kuzivunja.

6️⃣ Jinsi ya kupunguza msongo wa mawazo na kurejesha utulivu wa akili.

7️⃣ Jinsi ya kujenga Focus na Akili ya kihisia EQ.

🔹 BONUS:

✓ Free Articles Kuhusu Mindest

Kwa Tsh 19,000 tu unaweza kuanza kubadilisha mfumo wa maisha yako.

Usiendelee kuona miaka inapita huku maisha yako yakibaki vile vile.

Bonyeza “BUY NOW” upate nakala yako ya MBELE YA MUDA leo.

👇👇👇

P-S/ NB. Kama kuna Umekutana na changamoto yoyote wakati wa kulipia ili apate eBook hii, tafadhali nitumie ujumbe (DM). Nitafurahi kukusaidia ili upate eBook yako bila usumbufu. Asante sana. 🙏

Contact MWANAHISABATI:

WhatsApp: +255719663268

Bonyeza “BUY NOW” upate nakala yako ya MBELE YA MUDA leo.

👇👇👇
Mindset

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!

Community Comments

Please log in to leave a comment.
Loading comments...
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

MWANAHISABATI

ScriptWriter || RichKid Content Creator || Life lessons daily. Think better. Live better ||

View all books
TZS 19,000 TZS 25,000
77
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Secure Checkout via Mobile Money & Cards
Instant Delivery

You might also like