About MWANAHISABATI
Mimi ni Mwanahisabati Arthur Geil, mtaalamu
wa ushauri wa maisha, mindset, healing,
personal branding na digital content
creation.
Ninafanya kazi ya kusaidia watu kujijenga
upya kupitia mabadiliko ya fikra, kujitambua
na kujenga mfumo bora wa maisha
unaowasaidia kufikia uwezo wao mkubwa.
Kupitia maarifa yangu kwenye mindset,
psychology ya maisha na ujenzi wa brand
binafsi, ninalenga kusaidia watu kubadilisha
namna wanavyojiona, kuondoa vizuizi vya
ndani na kujenga maisha yenye mwelekeo,
thamani na ushawishi.
Ninaamini kuwa mafanikio ya nje huanza na mabadiliko ya ndani. Ndiyo maana
ninaunganisha maarifa ya akili, ukuaji binafsi na personal branding ili kusaidia watu
kuwa toleo bora zaidi la wao wenyewe.
Lengo langu ni kuhamasisha, kufundisha na kuongoza watu kujenga akili imara, maisha
yenye nidhamu na identity inayowapeleka mbele.
Mwanahisabati Arthur Geil
Products
Articles