JINSI YA KUJENGA NA KUMONETIZE PERSONAL BRAND YAKO MTANDAONI

JINSI YA KUJENGA NA KUMONETIZE PERSONAL BRAND YAKO MTANDAONI

TZS 7,000
-
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
1
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Ndani ya eBook hii utagundua mfumo kamili wa kujenga na kubadilisha personal brand yako kuwa chanzo cha kipato mtandaoni.

Hii si theory za juu juu. Ni mwongozo wa vitendo unaokuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kuanzia pale ulipo even hata kama huna followers wengi, huna pesa, au hujui uanzie wapi.

Utaelewa:

- Jinsi ya kujitambua na kugundua identity ya brand yako ujue wewe ni nani na unawakilisha nini.
- Namna ya kuchagua niche inayoweza kukuletea pesa.
- Mfumo wa kutengeneza content inayovutia, inayojenga audience na inayokuposition kama authority na kama mtaalam kwenye eneo lako.
- Mbinu za kukuza followers kwa njia organic bila kutumia matangazo.
- Psychology ya audience kwanini watu wanakufollow, wanakuamini, na mwisho wanakuwa tayari kununua kutoka kwako.
- Njia tofauti za kumonetize brand yako.
- Makosa makubwa ambayo watu wengi hufanya na kwanini hawapati pesa hata wakiwa na followers wengi
- Mfumo wa kugeuza attention kuwa income step by step.

Hii eBook imeandikwa kwa lugha rahisi, halisi, na inayoendana na mazingira ya sasa ya mitandao.

Kama uko serious kujenga jina lako, kujitofautisha na kuanza kutengeneza pesa kupitia kile unachojua au unachokipenda basi hii eBook ni kwa ajili yako.

Usichezee Hii fursa!!
personal branding digital marketing content creation
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

MwanaHisabati

Writer || Content Creator || Life lessons daily. Think better. Live better ||

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!