HABARIDUKA - Tanzanian Digital Marketplace
H

Habaritech

8 products
All Products Articles Stories

Products

Product
HISA Portfolio Tracker
Template rahisi ya kufuatilia uwekezaji wako wa hisa za DSE. Rekodi mauzo na manunuzi, fuatilia profit/loss, average cost na idadi ya hisa zako moja kwa moja ndani ya Excel au Google Sheets.
TZS 10,000
Product
NETFLIX ya MWAKA MMOJA
Hakuna tena haja ya Kulipia NETFLIX mwezi hadi mwezi kwa gharama kubwa. Hii utalipa mara moja na kuifurahia mwaka Mzima.
TZS 10,000
Product
Simu Yako ni Mshahara Wako. Tumia Whatsapp Kutengeneza Pesa
Jifunze jinsi ya kuanza kupata kipato ukitumia WhatsApp yako kwa njia rahisi na zinazofanya kazi. Mwongozo huu unakupa mbinu halisi, bidhaa zinazouza, na mfumo wa kila siku wa kuvutia wateja na kufanya mauzo.
TZS 15,000
Product
Kuagiza Bidhaa China
Jifunze jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China kwa usalama, bei nafuu, na uhakika kupitia Alibaba. Mwongozo huu rahisi utakufundisha hatua kwa hatua kutoka kufungua akaunti hadi kupokea mzigo wako Tanzania bila kupoteza pesa.
TZS 1,000
Product
Uchambuzi wa Hisa Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE)
Jifunze namna ya kununua hisa na kukuza kipato chako cha uzeeni huku ukiendelea kujitafuta. Kitabu hiki cha "Uchanganuzi na Ununuzi wa Hisa" ni mwongozo wako makini unaokupa mbinu za kiuchambuzi za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Pata maarifa ya jinsi ya kulinda thamani ya pesa yako dhidi ya mfumuko wa bei na kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji kwa vitendo.
TZS 10,000
Product
Habaritech: Magazine 2
Fahamu kuhusu utengenezaji wa pesa mtandaoni.
TZS 0
Product
Mwongozo Wako wa Kidijitali Kuelekea Kesho Iliyo Bora
HabariTech ni jarida la kwanza la Kitanzania linalochambua ulimwengu wa teknolojia kwa lugha rahisi ya Kiswahili. Kuanzia siri za Metaverse, mwanzo wa Bitcoin, hadi jinsi vijana wa Kitanzania wanavyobuni mifumo ya kisasa kama Tunzaa na Swahilies, tunakupa maarifa unayohitaji ili usibaki nyuma katika mapinduzi ya kidijitali.
TZS 5,000
Product
Dark Web: Ndani ya Giza na Siri Nzito
Wengi wakisikia Dark Web hudhani ni sehemu kwa ajili ya Wadukuzi tu. Wengine hudhani ni sehemu ya kuuza na kununua madawa ya kulevya na Silaha. Wasichojua ni kwamba Dark Web tunaishi nayo na kuitumia kila siku na hayo mabaya ni sehemu ndogo sana ya Dark Web.
TZS 10,000

Articles

Stories