THE FREELANCE BLUEPRINT

THE FREELANCE BLUEPRINT

TZS 5,000
28
Pages
Pdf
Format
Lifetime
Access
0
Sales

Promote this ebook & Earn!

Earn commission for every sale you refer. Join our Affiliate Program

Description

Watu wengi hutamani kuanza kazi za mtandaoni, hasa freelancing, lakini hawajui pa kuanzia.

Kila mtu hutoa ushauri wake: mmoja anakuelekeza ujifunze ujuzi kwanza, mwingine anakusisitiza uandae kwingineko ya kazi zako, na mwingine anakushauri ufungue akaunti na uanze kutafuta wateja mara moja. Baada ya muda, ushauri huu wote unaweza kugeuka kuwa kelele zinazochanganya fikra.

Ukweli ni kwamba freelancing huwa rahisi zaidi unapokuwa na njia iliyo wazi ya kufuata. Unahitaji kujua pa kuanzia, nini cha kuipa kipaumbele, na makosa gani ya kuepuka mapema.

Anza Kujiajiri na Kujiingizia Kipato Mtandaoni

Huu ndiyo mwanzo wako wa kuingia katika dunia ya kujiajiri mtandaoni na kuanza kujipatia kipato cha uhakika. Ndiyo maana nimekuandalia mwongozo unaogawanya safari ya freelancing katika hatua 10 zilizo wazi, kwa mtu anayeanza na anayetaka kufanya mambo kwa usahihi.

Unachopaswa kutarajia ni hiki:

Uwazi: Iwe unataka kuwa mwandishi, mbunifu wa picha, mtaalamu wa kompyuta, au kuuza ujuzi mwingine wowote, lengo ni kukusaidia uanze ukiwa na ufahamu mpana na bila kubahatisha.

Ufanisi: Mwongozo huu umeandaliwa kwa ajili ya watu wanaotaka kuanza safari hii kwa njia sahihi, bila kupoteza miezi mingi wakizunguka bila mwelekeo.

Hapa ndipo mahali sahihi pa kuanzia safari yako ya mafanikio.

+ Bonus:

Ili kusherehekea uzinduzi wa eBook hii, nitakuwa nikitoa makala (free articles) bure kabisa zitakazokupa maarifa ya ziada kuhusu freelancing na namna ya kuanza kujiajiri mtandaoni.

Hizi articles zitakusaidia:

Kuelewa kwa undani zaidi kile kilichomo ndani ya eBook
Kujifunza mbinu za ziada za kuanza na kukua haraka
Kupata value hata kabla hujanunua

Hii ni sehemu ya kuhakikisha kila mtu anapata nafasi ya kujifunza, kuanza, na kubadilisha maisha yake kupitia mtandao.

Articles zitakua Free kupitia hii WhatsApp Channel yetu: https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ztsS1NCrWlvObst1C

Usikose!
freelancing make money online
Share this product: Facebook WhatsApp

About the Author

MwanaHisabati

Writer || Content Creator || Life lessons daily. Think better. Live better ||

View all books

Customer Reviews

No reviews yet. Be the first to review!